sw_tn/exo/25/22.md

237 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa.

nitaonana nawe hapo katika sanduku

"Nitakutana na wewe katika sanduku"

kifuniko cha dhahabu

Hichi ni kifuniko kinacho keti juu ya sanduku ambapo sadaka ya maombezi ufanyika.