sw_tn/exo/25/19.md

243 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.

kifuniko cha dhahabu

Hichi ni kifuniko kinacho keti juu ya sanduku ambapo sadaka ya maombezi ufanyika.

Lazima uweke

Hapa "uweke" ya husu Musa na watu wa Israeli.