# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye. # kifuniko cha dhahabu Hichi ni kifuniko kinacho keti juu ya sanduku ambapo sadaka ya maombezi ufanyika. # Lazima uweke Hapa "uweke" ya husu Musa na watu wa Israeli.