sw_tn/exo/25/08.md

16 lines
294 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuongea na Musa ni watu wafanye.
# patakatifum ... maskani
Haya maneno yana maana moja.
# Lazima ufanye
Hapa "ufanye" ni wingi na ya husu Musa na watu wa Israeli.
# nikuoneshayo mfano
"kukuonyesha katika mpango wake" au "nikuonyeshayo katika ramani"