sw_tn/exo/25/08.md

294 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa ni watu wafanye.

patakatifum ... maskani

Haya maneno yana maana moja.

Lazima ufanye

Hapa "ufanye" ni wingi na ya husu Musa na watu wa Israeli.

nikuoneshayo mfano

"kukuonyesha katika mpango wake" au "nikuonyeshayo katika ramani"