sw_tn/exo/25/03.md

434 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuongea na Musa ni watu wafanye.

buluu, zambarau na nyekundu

Maana zinazo wezekana ni 1) "vitu iliyo tiwa buluu, zambarau, na nyekundu," 2) "buluu, zambarau na nyekundu" kupaka kitambaaa.

pomboo

mnyama mkubwa anaye ishi baharini na kula mimea

shohamu

jiwe la thamani lenye miisho meupe na meusi, nyekundu au kijivu.

mawe mengine ya kutiwa

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.