sw_tn/exo/25/03.md

20 lines
434 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuongea na Musa ni watu wafanye.
# buluu, zambarau na nyekundu
Maana zinazo wezekana ni 1) "vitu iliyo tiwa buluu, zambarau, na nyekundu," 2) "buluu, zambarau na nyekundu" kupaka kitambaaa.
# pomboo
mnyama mkubwa anaye ishi baharini na kula mimea
# shohamu
jiwe la thamani lenye miisho meupe na meusi, nyekundu au kijivu.
# mawe mengine ya kutiwa
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.