sw_tn/exo/24/16.md

318 B

Utukufu wa Yahweh

Huu ulikuwa mwanga mzuri wa uwepo wa Mungu.

kama moto ulao

Hii ina maana ya utukufu wa Yahweh ulikuwa mkubwa una ulionekana kuwaka kwa mwanga kama moto.

kwenye macho ya Waisraeli

Hapa "macho" ya husu mawazo ya kuhusu walicho kiona

siku arobaini na usiku arobaini

"siku 40 na usiku 40"