# Utukufu wa Yahweh Huu ulikuwa mwanga mzuri wa uwepo wa Mungu. # kama moto ulao Hii ina maana ya utukufu wa Yahweh ulikuwa mkubwa una ulionekana kuwaka kwa mwanga kama moto. # kwenye macho ya Waisraeli Hapa "macho" ya husu mawazo ya kuhusu walicho kiona # siku arobaini na usiku arobaini "siku 40 na usiku 40"