sw_tn/exo/24/05.md

8 lines
364 B
Markdown

# Musa allichukuwa nusu ya damu na kuweka kwenye mabeseni
Musa alikusanya nusu ya damu kwenye mabesini ili kuwanyunyuzia watu 24:7. Hii itawathibitishia watu ushiriki wao katika agano kati ya watu wa Israeli na Mungu.
# alinyunyuzia nusu ingine kwenye madhabahu
Hapa madhabahu ya wakilisha Mungu. Hii itathibitisha ushiriki wa kati ya Mungu na watu wa Israeli.