sw_tn/exo/23/14.md

254 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa watu wa Israeli.

Abibu

Hili ni jina la mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiebrania. Abibu ni wakati wa sehemu ya mwisho ya Machi na sehemu ya kwanza ya Aprili kwa kalenda za Magharibi.