# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa watu wa Israeli. # Abibu Hili ni jina la mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiebrania. Abibu ni wakati wa sehemu ya mwisho ya Machi na sehemu ya kwanza ya Aprili kwa kalenda za Magharibi.