sw_tn/exo/23/12.md

345 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa watu wa Israeli.

Kuwa makini kwa

"fanya" au "tii"

ng'ombe na punda wako

"wanyama wa kazi zako"

wageni wapumzike na kupata hauweni

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

Husitaje majina ya miungu mingine

Hapa "majina" ni mbadala wa kuomba kwa miungu mingine.