# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa watu wa Israeli. # Kuwa makini kwa "fanya" au "tii" # ng'ombe na punda wako "wanyama wa kazi zako" # wageni wapumzike na kupata hauweni Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # Husitaje majina ya miungu mingine Hapa "majina" ni mbadala wa kuomba kwa miungu mingine.