sw_tn/exo/23/10.md

16 lines
277 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa watu wa Israeli.
# mazao
"chakula kutoka kwenye mimea"
# hakujalimwa
"hakujapaliliwa"
# ili kwamba maskini miongoni mwenu wale
Maskini wale chakula chochote kinacho ota chenyewe shamba lisilo paliliwa.