sw_tn/exo/23/10.md

277 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa watu wa Israeli.

mazao

"chakula kutoka kwenye mimea"

hakujalimwa

"hakujapaliliwa"

ili kwamba maskini miongoni mwenu wale

Maskini wale chakula chochote kinacho ota chenyewe shamba lisilo paliliwa.