sw_tn/exo/23/06.md

362 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa watu wa Israeli.

Haupaswi kupotosha haki

"Husifanye matendo yanayo zalisha matokea yasio halali" ambayo uleta uhuru kwa mwenye hatia au hukumu kwa hasiye na hatia.

sitamuacha muovu

"sitampata muovu bila hatia"

rushwa inawapofusha ... kupotosha

Hapa "rushwa" inaelezwa kama ni mtu.