sw_tn/exo/23/06.md

16 lines
362 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa sheria zake kwa watu wa Israeli.
# Haupaswi kupotosha haki
"Husifanye matendo yanayo zalisha matokea yasio halali" ambayo uleta uhuru kwa mwenye hatia au hukumu kwa hasiye na hatia.
# sitamuacha muovu
"sitampata muovu bila hatia"
# rushwa inawapofusha ... kupotosha
Hapa "rushwa" inaelezwa kama ni mtu.