sw_tn/exo/22/06.md

16 lines
265 B
Markdown

# Kama moto ukitokea na kusambaa kwenye miba
"Kama mtu akianza moto na kusambaa kwenye miba"
# kusambaa kwenye miba
"kupita kwenye mimea iliyo kauka"
# shamba kuteketezwa
"moto kuteketeza shamba"
# lazima afanye malipo
"lazima alipe mbegu moto ulizo haribu"