sw_tn/exo/22/06.md

265 B

Kama moto ukitokea na kusambaa kwenye miba

"Kama mtu akianza moto na kusambaa kwenye miba"

kusambaa kwenye miba

"kupita kwenye mimea iliyo kauka"

shamba kuteketezwa

"moto kuteketeza shamba"

lazima afanye malipo

"lazima alipe mbegu moto ulizo haribu"