sw_tn/exo/21/28.md

20 lines
459 B
Markdown

# ng'ombe lazima apigwe mawe
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# nyama yake hairuhusiwi kuliwa
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# mmiliki wa ng'ombe lazima awe huru
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# mmiliki wake lazima auawe pia
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# Kama malipo ya uhai yanaitajika
Kama mmiliki wa ng'ombe anaweza kulipa gharama ya kuokoa maisha yake, kisha anapaswa kulipa chochote waamuzi wanachotaka.