sw_tn/exo/21/28.md

459 B

ng'ombe lazima apigwe mawe

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

nyama yake hairuhusiwi kuliwa

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

mmiliki wa ng'ombe lazima awe huru

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

mmiliki wake lazima auawe pia

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

Kama malipo ya uhai yanaitajika

Kama mmiliki wa ng'ombe anaweza kulipa gharama ya kuokoa maisha yake, kisha anapaswa kulipa chochote waamuzi wanachotaka.