sw_tn/exo/21/22.md

304 B

mimba na kuiharibu

"mtoto akafa tumboni mwake"

mwanaume mwenye hatia lazima alipe

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

kama hakimu anavyo kusudia

"alicho amuua muamuzi"

lazima utoe uhai kwa uhai, jicho kwa jicho

Hii ina maana kama kaumia, mtu aliye muumiza lazima aumizwe vivyo hivyo.