# mimba na kuiharibu "mtoto akafa tumboni mwake" # mwanaume mwenye hatia lazima alipe Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # kama hakimu anavyo kusudia "alicho amuua muamuzi" # lazima utoe uhai kwa uhai, jicho kwa jicho Hii ina maana kama kaumia, mtu aliye muumiza lazima aumizwe vivyo hivyo.