sw_tn/exo/21/09.md

16 lines
258 B
Markdown

# aliyetenga
"chagua"
# apaswi kupunguza chakula chake, mavazi, au haki za ndoa
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# punguza
"kuchukuwa"
# haki za ndoa
Hii ina husisha vitu mme wake anapaswa kufanya kwa ajili ya mke wake, pamoja na kulala naye.