sw_tn/exo/21/09.md

258 B

aliyetenga

"chagua"

apaswi kupunguza chakula chake, mavazi, au haki za ndoa

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

punguza

"kuchukuwa"

haki za ndoa

Hii ina husisha vitu mme wake anapaswa kufanya kwa ajili ya mke wake, pamoja na kulala naye.