sw_tn/exo/20/22.md

351 B

Ni lazima uwaambie hili Waisraeli

"Waambie Waisraeli hili"

Wewe mwenyewe umeona niliongea na wewe kutoka mbinguni

"Umesikia nikiongea na wewe kutoka mbinguni"

Misjitengenezee miungu mingine pamoja nami

"Usifanye sanamu kama miungu mingine zaidi yangu"

miungu ya fedha au miungu ya dhahabu

"miungu iliyo tengenezwa kwa fedha au dhahabu"