# Ni lazima uwaambie hili Waisraeli "Waambie Waisraeli hili" # Wewe mwenyewe umeona niliongea na wewe kutoka mbinguni "Umesikia nikiongea na wewe kutoka mbinguni" # Misjitengenezee miungu mingine pamoja nami "Usifanye sanamu kama miungu mingine zaidi yangu" # miungu ya fedha au miungu ya dhahabu "miungu iliyo tengenezwa kwa fedha au dhahabu"