sw_tn/exo/20/18.md

20 lines
266 B
Markdown

# mlima ukitoa moshi
"moshi ukitoka mlimani"
# walitetemeka
"walitetemeka kwa hofu"
# walisimama mbali
"walisimama kando"
# ili heshima yake iwe ndani yenu, kwa hiyo msitende dhambi
"ili mumheshimu yeye na msitende dhambi"
# alikaribia
"alisogea karibu na"