sw_tn/exo/20/18.md

266 B

mlima ukitoa moshi

"moshi ukitoka mlimani"

walitetemeka

"walitetemeka kwa hofu"

walisimama mbali

"walisimama kando"

ili heshima yake iwe ndani yenu, kwa hiyo msitende dhambi

"ili mumheshimu yeye na msitende dhambi"

alikaribia

"alisogea karibu na"