sw_tn/exo/20/08.md

20 lines
405 B
Markdown

# ufanye kazi zako
"fanye kazi za kila siku"
# malango yako
Miji mara nyingi ilikuwa na ukuta ikizunguka kuweka mbali maadui, na milango watu kuingia na kutoka.
# siku ya saba
Hapa "saba" ni namba "7"
# aliibariki siku ya Sabato
Maana zinazo wezekana ni 1) Mungu alisababisha Sababto kuzalisha matokea mazuri, au 2) Mungu alisema siku ya Sabato ni nzuri.
# kuitenga
"kuitenga kwa kusudi maalumu"