sw_tn/exo/20/08.md

405 B

ufanye kazi zako

"fanye kazi za kila siku"

malango yako

Miji mara nyingi ilikuwa na ukuta ikizunguka kuweka mbali maadui, na milango watu kuingia na kutoka.

siku ya saba

Hapa "saba" ni namba "7"

aliibariki siku ya Sabato

Maana zinazo wezekana ni 1) Mungu alisababisha Sababto kuzalisha matokea mazuri, au 2) Mungu alisema siku ya Sabato ni nzuri.

kuitenga

"kuitenga kwa kusudi maalumu"