sw_tn/exo/20/04.md

428 B

kufananisha

"na usitengeneze cha kufanana"

wivu

Mungu anataka watu wake wamuabudu yeye tu.

Nitaadhibu uovu wa mabubu kwa kuleta adhabu juu ya kizazi

Mungu ata hadhibu watu kwa dhambi za wazazi wao

cha tatu hadi kizazi cha nne

"kizazi ch 3 na cha 4"

agano la uaminifu kwa maelfu

"kwasababu ya agano langu, ni mwaminifu kwa maelfu" au "napenda maelfu kwa uaminifu"

kwa maelfu watakao

"vizazi vingi vya hao"