# kufananisha "na usitengeneze cha kufanana" # wivu Mungu anataka watu wake wamuabudu yeye tu. # Nitaadhibu uovu wa mabubu kwa kuleta adhabu juu ya kizazi Mungu ata hadhibu watu kwa dhambi za wazazi wao # cha tatu hadi kizazi cha nne "kizazi ch 3 na cha 4" # agano la uaminifu kwa maelfu "kwasababu ya agano langu, ni mwaminifu kwa maelfu" au "napenda maelfu kwa uaminifu" # kwa maelfu watakao "vizazi vingi vya hao"