sw_tn/exo/19/19.md

366 B

ongezeka na zaidi

"ikaendelea kuwa kubwa na kubwa"

kwa sauti

Neno "sauti" hapa ya husu sauti Mungu aliyo fanya. Maana inayo wezekana ni 1) kwa kuongea kwangu kama radi" au 2) "kwa kuongea" au 3) "kusababisha radi iongee"

akamuita Musa

"alimuita Musa kuja juu"

wasipite

Mungu aliongea kuhusu kupita mipaka kana kwamba wataweza vunja kizuio na kupita.