# ongezeka na zaidi "ikaendelea kuwa kubwa na kubwa" # kwa sauti Neno "sauti" hapa ya husu sauti Mungu aliyo fanya. Maana inayo wezekana ni 1) kwa kuongea kwangu kama radi" au 2) "kwa kuongea" au 3) "kusababisha radi iongee" # akamuita Musa "alimuita Musa kuja juu" # wasipite Mungu aliongea kuhusu kupita mipaka kana kwamba wataweza vunja kizuio na kupita.