sw_tn/exo/18/17.md

24 lines
546 B
Markdown

# Hakika utajichosha
"utajifanya kuchoka sana"
# Huu mzigo ni mzito sana kwako
Yethro anazungumzia kazi ngumu Musa anayo fanya kana kwamba ni kazi ya mwili Musa alikuwa anabeba.
# ushauri
"mwongozo" au "maelekezo"
# Mungu ata kuwa na wew
Yethro anaongelea Mungu kumsaidia Musa kana kwamba Mungu ata kuwa na Musa.
# leta malumbano yao kwake
Yethro anaongelea Musa kumwambia Mungu kuhusu malumbano kana kwamba Musa ana leta malumbano yao kwa Mungu.
# Lazima uwafundishe njia yakutembea
Yethro anaongelea kuishi au kutenda kama kutembea.