sw_tn/exo/18/17.md

546 B

Hakika utajichosha

"utajifanya kuchoka sana"

Huu mzigo ni mzito sana kwako

Yethro anazungumzia kazi ngumu Musa anayo fanya kana kwamba ni kazi ya mwili Musa alikuwa anabeba.

ushauri

"mwongozo" au "maelekezo"

Mungu ata kuwa na wew

Yethro anaongelea Mungu kumsaidia Musa kana kwamba Mungu ata kuwa na Musa.

leta malumbano yao kwake

Yethro anaongelea Musa kumwambia Mungu kuhusu malumbano kana kwamba Musa ana leta malumbano yao kwa Mungu.

Lazima uwafundishe njia yakutembea

Yethro anaongelea kuishi au kutenda kama kutembea.