sw_tn/exo/17/14.md

392 B

nitaondoa kumbukumbu ya Ameleki

Mungu anaongea kuharibu Ameleki kana kwamba anaondoa kumbukumbu ya watu kuhusu Ameleki. Wakati kundi la watu linapo haribiwa, hakuna cha kuwakumbusha watu kuhusu wao.

mkono ulinyanyuliwa juu

Watu waliinua mkono wao wakati walipo weka ahadi au deni.

mkono ulinyanyuliwa juu

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

Ameleki

Hii ya husu Waameleki.