sw_tn/exo/17/14.md

16 lines
392 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nitaondoa kumbukumbu ya Ameleki
Mungu anaongea kuharibu Ameleki kana kwamba anaondoa kumbukumbu ya watu kuhusu Ameleki. Wakati kundi la watu linapo haribiwa, hakuna cha kuwakumbusha watu kuhusu wao.
# mkono ulinyanyuliwa juu
Watu waliinua mkono wao wakati walipo weka ahadi au deni.
# mkono ulinyanyuliwa juu
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# Ameleki
Hii ya husu Waameleki.