sw_tn/exo/17/11.md

12 lines
297 B
Markdown

# Israeli ilikuwa yashinda ... Ameleki alianza kushinda
Maneno "Israeli" na "Ameleki" wana wakilisha wapiganaji kutoka hizo sehemu.
# Mikono ya Musa alipo kuwa mizito
Mwandishi ana andika mikono ya Musa kuchoka kana kwamba mikono yake imekuwa mizito.
# kwa upanga
Upanga wawakilisha pambano.