sw_tn/exo/17/11.md

297 B

Israeli ilikuwa yashinda ... Ameleki alianza kushinda

Maneno "Israeli" na "Ameleki" wana wakilisha wapiganaji kutoka hizo sehemu.

Mikono ya Musa alipo kuwa mizito

Mwandishi ana andika mikono ya Musa kuchoka kana kwamba mikono yake imekuwa mizito.

kwa upanga

Upanga wawakilisha pambano.