sw_tn/exo/16/31.md

342 B

manna

Hili likuwa jina Waisraeli walilo lipa mkate ambao Yahweh alisababisha kutokea kila asubui.

mbegu ya mgiligani

Watu wanakausha mbegu na kusaga katika unga na kuweka kwenye chakula kuleta ladha.

maandazi

membamba kama biskuti

lita

"lita mbili"

mkate

Hii ya husu mkate uliyo tokea kama barafu kwenye ardhi kila asubui.