# manna Hili likuwa jina Waisraeli walilo lipa mkate ambao Yahweh alisababisha kutokea kila asubui. # mbegu ya mgiligani Watu wanakausha mbegu na kusaga katika unga na kuweka kwenye chakula kuleta ladha. # maandazi membamba kama biskuti # lita "lita mbili" # mkate Hii ya husu mkate uliyo tokea kama barafu kwenye ardhi kila asubui.