sw_tn/exo/15/16.md

20 lines
493 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Musa anaendelea kuimba kuhusu jinsi watu wa mataifa mengine watajisikia watakapo waona watu wa Mungu.
# Mshituko na hofu vitawaangukia
Haya maneno mawili yana maana hofu itakuja juu yao.
# hofu
Hofu ni uwoga au wasiwasi kuhusu kitu kinachoenda tokea au kilicho tokea.
# Kwasababu ya nguvu ya mkono wako
Mkono wa Mungu wa wakilisha uweza wake mkuu.
# watakuwa kimya kama jiwe
Maana zinazo wezekana ni 1) "Watakuwa tulivu kama jiwe" au 2) "Hawata sogea kama jiwe"