sw_tn/exo/15/16.md

493 B

Sentensi Unganishi

Musa anaendelea kuimba kuhusu jinsi watu wa mataifa mengine watajisikia watakapo waona watu wa Mungu.

Mshituko na hofu vitawaangukia

Haya maneno mawili yana maana hofu itakuja juu yao.

hofu

Hofu ni uwoga au wasiwasi kuhusu kitu kinachoenda tokea au kilicho tokea.

Kwasababu ya nguvu ya mkono wako

Mkono wa Mungu wa wakilisha uweza wake mkuu.

watakuwa kimya kama jiwe

Maana zinazo wezekana ni 1) "Watakuwa tulivu kama jiwe" au 2) "Hawata sogea kama jiwe"