sw_tn/exo/14/19.md

193 B

kambi ya Misri na kambi ya Israeli

"jeshi la Wamisri na watu wa Israeli"

hivyo upande mmoja haukuweza kuja karibu ya mwingine

Hii ina maana kuwa Wamisri na Waisraeli hawakuweza fikiana.