# kambi ya Misri na kambi ya Israeli "jeshi la Wamisri na watu wa Israeli" # hivyo upande mmoja haukuweza kuja karibu ya mwingine Hii ina maana kuwa Wamisri na Waisraeli hawakuweza fikiana.