sw_tn/exo/14/15.md

460 B

Kwanini wewe, Musa, unaendelea kuniita mimi?

Musa ni wazi alikuwa akiomba kwa Mungu kwa msaada hivyo Mungu anatumia hili swali kumshawishi Musa kutenda.

uigawanye sehemu mbili

"gawanya bahari katika sehemu mbili"

Jitahadharishe

"jua"

nitafanya mioyo ya Wamisri kuwa migumu

Hapa "mioyo" ya husu Wamisri wenyewe. Tabia zao za kiburi zinatajwa kama mioyo yao migumu.

ili wawafuate

"ili kwamba Wamisri wataenda kwenye bahari baada ya Waisraeli"