sw_tn/exo/14/15.md

20 lines
460 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwanini wewe, Musa, unaendelea kuniita mimi?
Musa ni wazi alikuwa akiomba kwa Mungu kwa msaada hivyo Mungu anatumia hili swali kumshawishi Musa kutenda.
# uigawanye sehemu mbili
"gawanya bahari katika sehemu mbili"
# Jitahadharishe
"jua"
# nitafanya mioyo ya Wamisri kuwa migumu
Hapa "mioyo" ya husu Wamisri wenyewe. Tabia zao za kiburi zinatajwa kama mioyo yao migumu.
# ili wawafuate
"ili kwamba Wamisri wataenda kwenye bahari baada ya Waisraeli"